Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mangula ang’atuka, Kinana kumrithi

Muktasari:

  • Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) imempendekeza Katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kuwa mgombea nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) baada ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Philip Mangula kung’atuka.


Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) imempendekeza Katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kuwa mgombea nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) baada ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Philip Mangula kung’atuka.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Machi 31, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya mkutano wa NEC uliofanyika chini ya Uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.