Mkutano wa kuzima maandamano kufanyika

Thursday January 21 2021

Wakati maandamano dhidi ya mauaji ya mwanaharakati wa haki za binadamu, Karima Baloch yakiendelea ulimwenguni kote, mkutano kwa njia ya video utafanyika kuhusu kuhusika kwa mawakala wa Pakistani katika mauaji hayo.

Mkutano huo utafanyika chini ya kaulimbiu “Je, mawakala wa Pakistani wanachukua hatua ya kuwaondoa wanaharakati wa Baloch nje ya nchi? Wakati huohuo, chama cha Sauti ya Baloch kimeandaa maandamano ya kudai haki ya Karima Mehrab Baloch mbele ya Ubalozi wa Canada nchini Ufaransa.

“Jamii ya Baloch huko Ufaransa na marafiki watakusanyika mbele ya ubalozi wa Canada kutaka uchunguzi wa mauaji hayo ufanyike haraka.

Advertisement