Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Polisi yamdhibiti aliyefyatua risasi

Polisi yamdhibiti aliyefyatua risasi

Muktasari:

  • Mtu mmoja ambaye hajafahamika amezua taharuki maeneo ya Daraja la Salenda, Dar es Salaam, baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika kuwa anawatafuta polisi.


Dar es Salaam. Mtu mmoja ambaye hajafahamika amezua taharuki maeneo ya Daraja la Salenda, Dar es Salaam, baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika kuwa anawatafuta polisi.

Tukio hilo limetokea leo Jumatano Agosti 25, 2021 liliwafanya wananchi waliokuwa jirani na eneo hilo wakiwemo waliokuwa kwenye magari kukimbia kujaribu kuokoa maisha yao.

Hata hivyo, Polisi walifanikiwa kumdhibiti na taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai kuwa, ameuawa kwenye mapambano hayo na polisi.


Kwa habari zaidi endelea kusoma tovuti yetu ya Mwananchi