Rais Samia apokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia
Rais Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Kikosi hicho kinawasilisha taarifa hiyo leo Jumatatu Machi 21, 2022 Ikulu jijini Dar es salaam.