Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Sabaya, wenzake kizimbani tena leo

Muktasari:

  • Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi.

Moshi. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi.

Juni 7, 2022  mahakama hiyo iliahirisha kesi hiyo baada ya upande wa mashtaka kueleza kuwa upelelezi bado haujakamilika.

Kesi hiyo namba mbili ya mwaka 2022 inayosikilizwa na hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Salome Mshasha  imekuja kwa ajili ya kutajwa.