Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

VIDEO: Kauli alizowahi kutoa Ndugai akiwa Spika hizi hapa…

Baadhi ya kauli za Ndugai akiwa Spika hizi hapa

Muktasari:

Baada ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo na kubaki kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mwananchi inakuletea baadhi ya kauli alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan.

Dar es Salaam. Baada ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo na kubaki kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mwananchi inakuletea baadhi ya kauli alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan.

Jana Alhamisi Januari 6, 2022 aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai alitoa taarifa kwa umma kuwa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kujiuzulu nafasi hiyo.