Watatu wafariki mzozo wa Ukraine

Muktasari:

  • Takribani watu raia wa Ukraine wamefariki  katika shambulio la bomu llililofanywa na vikosi vya Urusi mapema leo.

Takribani watu raia wa Ukraine wamefariki  katika shambulio la bomu llililofanywa na vikosi vya Urusi mapema leo.

Idara ya walinzi wa mipakani wa Ukraine imehibitisha wakati ikitaja hasara iliyopatikana kwenye shambulio hilo ambalo Urusi limeliita operesheni ya kijeshi.