1. CCM ijipime nguvu kwa wanaoikimbiza

  Mwaka 1995 katika Mkutano Mkuu wa CCM, Baba wa Taifa Julius Nyerere alisema bila CCM, imara nchi itayumba kwa kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na wasipoyaona au kuyapata ndani ya CCM...

 2. Usomaji shahada za juu unavyogeuka shubiri vyuoni

  Wakati mjadala uliopo sasa ukiwa kwa nini watu wengi wanapendelea kuitwa wasomi wa PhD, mengine yamebainika kuhusu taratibu za usomaji wa shahada za juu katika baadhi ya vyuo vikuu nchini.

 3. Siri wengi kukimbilia ‘PhD’ za heshima

  Katika mfululizo wa makala hii iliyoanza jana, tuliangazia kwa kina taratibu za usomaji wa shahada ya uzamivu katika vyuo vya Tanzania.

 4. URITHI WETU: Chifu Mkwawa alivyowachapa wakoloni Lugalo

  Huwezi kuwazungumzia Wahehe ukaeleweka vizuri bila kumtaja Chifu wao, Mkwawa.

 5. Desmond Tutu aacha funzo kwa watawala, viongozi wa dini

  Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City”, kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza...

 6. URITHI WETU: Hawa ndio Wahehe na chimbuko lao-1

  Kwa kiasi kikubwa, Mkoa wa Iringa unabebwa na historia ya mkazi wake maarufu, Chifu Mkwawa.

 7. Mimba zilizoharibika zinavyogharimu mabilioni

  Tanzania inatumia Sh10.4 bilioni kwa mwaka kwa ajili ya kugharimia matibabu kwa wanawake walioharibikiwa au kuharibu mimba (PAC).

 8. ANTi BETTIE: Shoga mbona “unausokotola” unyago, unamtia aibu somo yako

  Kwenye ndoa kuna mambo mengi, ikiwamo kupanda na kushuka na changamoto za hapa na pale, ndiyo maana mara nyingi watu husema inahitaji uvumilivu. Pamoja na changamoto hizo, bado ndoa inabaki na...

 9. Kula samaki kwa wingi kuondoa mikunjo usoni

  Licha ya kuwapo kwa vitu vingi vinavyosaidia kuboresha ngozi, yakiwamo matunda na mimea mbalimbali, pia kuna vyakula.

 10. Anti Bettie: Ananiita nyumba ya wageni tukajadili kuhusu posa na ndoa yetu

  Mimi ni binti wa miaka 17, nimemaliza kidato cha nne sijabahatika kuendelea na elimu, kuna mwanamume amesema anataka akajitambulishe kwetu kwa ajili ya kunioa. Lakini siku mbili hizi...

  New Content Item (1)
 11. Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

  Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi...

 12. ANTI BETTIE: Acha kulalamika mwenza wako kupungua nguvu za kiume, pambana kuzirudisha

  Neno hana nguvu za kiume si geni tena masikioni mwa watu, ni kama tusi jipya kwa wanaume. Ajabu maswali mengi kuhusu hii hali wanaoniuliza ni wanawake: “Mwenza wangu hana nguvu za kiume...

 13. Viongozi wa dunia walaani mapinduzi ya kijeshi Myanmar

  Zama za jeshi kushika hatamu za uongozi zimejirudia tena katika nchi ya Myanmar, na sasa jeshi la nchi hiyo juzi liliiondoa madarakani serikali iliyochaguliwa kidemokrasia katika mapinduzi ambayo...

 14. Wiki ya sheria yamalizwa na kilio cha Katiba Mpya

  Juzi, Tanzania iliadhimishwa Siku ya Sheria wakati kukiwa na malalamiko mengi ya wadau mbalimbali kuhusu utawala wa sheria katika Taifa hili ambalo kwa miaka mingi limejipambanua kwa siasa zake...

 15. Tuheshimu tahadhari zitolewazo

  Kwa nyakati tofauti, viongozi dini wa makanisa tofauti nchini wametoa tahadhari kwa waumini wao dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona ambavyo vinaendelea kuua watu katika mataifa mbalimbali...

 16. Ester zao la shule za kata aliyetamba kwenye fani ya umeme kimataifa

  Miaka 29 iliyopita katika Kijiji cha Katangara mkoani Kilimanjaro alizaliwa binti. Hakuna aliyefahamu kwamba siku moja binti huyo wa kwanza katika familia ya watoto watano kutoka kijijini hapo...

 17. Ulaji wa mayai na faida zake mwilini

  Mayai ni chakula muhimu katika mwili wa binadamu na yana virutubisho na madini mengi yenye faida.

 18. Sababu za mwasho huu kwa wanaume

  Mwasho katika maeneo ya uzazi kwenye ngozi ya pochi inayobeba kiwanda cha kuzalisha mbegu za kiume yaani kokwa ni moja ya tatizo ambalo kila mwanaume amewahi kulipata katika maisha yake.

 19. Kwanini maziwa ya mama pekee muhimu kwa mtoto?

  Elimu ya umuhimu wa maziwa ya mama katika makuzi ya mtoto kuanzia siku ya kwanza hadi anapofikisha miezi sita, imekuwa ikitolewa na wataalamu wa fya.

 20. Miaka 60 ya mafanikio ya Tanzania kuhifadhi wakimbizi

  Je, umewahi kujiuliza inakuwaje mtu akaondoka katika nchi yake alikozaliwa na kukulia akakimbilia nchi nyingine kuomba hifadhi? Hivyo ndivyo inavyokuwa. Ni hali inayoweza kumkuta mtu yoyote duniani.