Barbara afunguka mtandaoni

Wednesday August 04 2021
barba pic
By Anna Potinus

Katika hali ambayo haijafahamika, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amefunguka leo kupitia ukurasa wake wa Twitter akisisitiza msamaha.

Barbara: Utamu unakuja Simba


Barbara ameandika ujumbe mfupi wenye maneno tisa kwa Kingereza unaolenga kutafuta au kutuliza amani.

SOMA ZAIDI: Manara amtaja Mo Dewji ishu yake Simba


Mtendaji huyo ameandika, “When you have a chance to seek revenge: FORGIVE! (Ukipata nafasi ya kulipiza kisasi, samehe),”
Barbara ameandika ujumbe huo muda mfupi kabla ya aliyekuwa Msemaji wa Simba, Haji Manara kutema nyongo tangu aondolewe kwenye nafasi hiyo.

Advertisement


Advertisement