Meridianbet yaja na duka jipya la kubetia mtaa wa Kariakoo Fire

Meridianbet bado inakujali mteja wake na kuthibitisha hilo wamekuletea duka jipya ambalo utaweza kutumia wakati unataka kubashiri popote pale hasa ukiwa maeneo ya Kariakoo Fire ambalo limesheheni kila chaguo ulitakalo ikiwemo Odds kubwa na michezo ya kasino ya matandaoni.
Lakini pia viongozi wa Meridianbet wanakwambia hivi, hawataishia hapo wanataka kila eneo la Dar es salaam maduka yao yaenee ili wateja waspate tabu wanapotaka kubashiri mechi zao na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.
Pia tembelea tovuti ya Meridianbetwww.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.
Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri mubasharamechi hizo.