Mwanamuziki na Mwandishi wa nyimbo miondoko ya Afro-Soul Apio Moro akitoa burudani kwenye tamasha la sauti za busara 2020 Visiwani Zanzibar eneo la Ngome Kongwe
Photo: 1/4
Kundi la Pigment likitoa burudani kwenye tamasha la sauti za busara 2020 Visiwani Zanzibar eneo la Ngome Kongwe
Photo: 2/4
Masanja Mkandamizaji akitoa burudani katika tamasha la Sauti za busara
Photo: 3/4
Kundi la Swahili Encounters wakitoa burudani kwenye tamasha la sauti za busara 2020 Visiwani Zanzibar eneo la Ngome Kongwe