Rais Samia aongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya CCM
Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyika leo Januari 15, 2024 mjini Unguja, Zanzibar. Na Mpigapicha Maalumu
Photo: 1/3
Photo: 2/3
Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza alipokuwa akiongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyika leo Januari 15, 2024 mjini Unguja, Zanzibar. Na Mpigapicha Maalumu