Silaa, Polepole, Gwajima wahojiwa na kamati maadili ya wabunge CCM
Wabunge wa CCM Jerry Silaa (Ukonga), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Humprey Polepole (mbunge wa kuteuliwa), leo Ijumaa Septemba 3, 2021 wamefika mbele ya kamati ya maadili ya wabunge ya CCM na kuhojiwa ikiwa ni kuitikia agizo la Bunge.
Photo: 1/2
Wabunge CCM Jerry Silaa (Ukonga), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) , leo Ijumaa Septemba 3, 2021 wamefika mbele ya kamati ya maadili ya wabunge ya CCM na kuhojiwa ikiwa ni kuitikia agizo la Bunge.