Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.
Polisi: Nondo amechukuliwa na Land Cruiser nyeupe, tunafuatilia Wakati ACT-Wazalendo ikisema mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo ametekwa leo asubuhi, Jeshi la Polisi limesema amechukuliwa na Land Crusier nyeupe na wanafuatilia.
Nondo wa ACT-Wazalendo adaiwa kutekwa, Polisi yasema… Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi Luis wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.