Miili ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege Bukoba tayari ikiagwa leo uwanja wa Kaitaba kabla kukabidhiwa kwa ndugu kwa mazishi.