Huyu ndiye Rosalynn Mkurugenzi mpya wa Mwananchi MCL inasimamia usafirishaji wa mizigo (Mwananchi Currier), uchapishaji wa magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen na mtandao wa kidijitali wa Mwanaclick.
PRIME Serikali ilivyojibu hoja za Lissu kupinga kesi yake kusikilizwa mtandaoni Serikali imejibu hoja za mawakili wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kupinga kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube...
Polisi watanda Kisutu, waandishi wa habari wazuiwa Katika eneo hilo la Mahakama, polisi waliovaa sare na wasio na sare wapo ndani ya magari wakifanya doria huku wakiwa wameshikilia silaha mbalimbali zikiwamo bunduki na virungu.