Muungano: Siku 22,280 za majaribu, mikasa na ushindi
Mzunguko wa Kalenda ya Gregory, ambayo inatumika Tanzania na sehemu kubwa ya ulimwengu, mwaka mmoja una siku 365, halafu kila baada ya miaka minne, mwaka unakuwa na siku 366. Kimahesabu, miaka 61...