Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee ameibana Serikali akitaka kujua mpaka sasa inadaiwa kiasi gani cha fedha ambazo imekopa kutoka Mifuko ya Hifadhi za Jamii.