Lowassa, Mwinyi walivyoliachia Taifa majonzi na simanzi
Mvuto wa Lowassa ulidhihirika zaidi wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, ambapo aligombea urais ndani ya CCM lakini jina lake lilikatwa, jambo lililowakera wajumbe wa mkutano mkuu huo ambao...