Search

647 results for Aurea Simtowe :

  1. PRIME Usiyoyafahamu kuhusu Mustafa Mkulo

    Mwili wa waziri wa zamani wa fedha wa Tanzania, Mustafa Mkulo unatarajiwa kuzikwa kesho Jumapili nyumbani kwake Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Watu waliofanya naye kazi wamemwelezea alama alizoziacha...

  2. Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia ya Mkulo, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam

  3. JKCI kufuatilia hali za wagonjwa wa moyo kidijitali

    Kifaa hicho kinasaidia wagonjwa kupata mwendelezo wa matibabu wakiwa nyumbani, huku Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ikiweza kuwafuatilia kidijitali.

  4. Rais Samia ateta na mabalozi wa Tanzania nchi za nje

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema amechukua hatua mbalimbali ili kuibadilisha Wizara ya Mambo ya Nje iwe ya kisasa zaidi na kuwa na uwezo wa kuitangaza nchi

  5. Operesheni ya siku 14 yanasa kilo 767.2 za dawa za kulevya

    Watuhumiwa 21 wanaswa, wamo wafanyabiashara wawili wakubwa

  6. Makonda aanza makeke Arusha, akemea wanaojipendekeza

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kumekuwa na watendaji wengi wenye kasumba za unafiki na kujipendekeza tena wasioweza kazi, bali wanachoweza kufanya ni kusifia viongozi pekee.

  7. Boniphace Jacob asema wabadhirifu fedha za umma wachukuliwe hatua, akiichambua ripoti ya CAG

    “Wakati mwingine tunalalamika barabara mbovu, mitaro hakuna, watu wanakaa chini kumbe hizi halmashauri zinabaki na fedha ambazo wanaona hawana matumizi yake,” amesema Jacob.

  8. Biashara Tanzania na Uturuki kufikia Sh2.58 trilioni

    Rais Samia ambaye leo ni siku yake ya pili katika ziara hiyo ya kiserikali amesema kesho Ijumaa Aprili 19, 2024 wanatarajia kufanya mkutano wa biashara ambao utawakutanisha wafanyabiashara wa...

  9. Chalamila atishia kumweka ndani mkandarasi mwendokasi

    Kwa mujibu Tanroads, ujenzi barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto umefikia asilimia 45.6

  10. PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu

    Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...

Page 1 of 65

Next