Polisi yawanasa watuhumiwa madai mauaji ya kijana kwa kipigo Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Antony kwa tuhuma za mauaji ya kijana Enock Mhangwa, huku watuhumiwa wengine...
Sh120 bilioni kusafirisha gesi asilia kutoka Ntorya hadi Madimba Mtwara Kauli hiyo ya TPDC imetolewa leo Julai 3, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Mussa Makame katika hafla fupi ya kuingia makubaliano ya ujenzi wa bomba hilo.
Mwelekeo hali ya hewa kwa siku 10 zijazo nchini Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja kanda nane nchini zitakazopitia hali ya ukavu na vipindi vya mvua kwa kipindi cha siku 10 kuanzia leo Julai mosi, 2025.
Bei ya petroli, dizeli yashuka Julai Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa katika Bandari ya Dar es Salaam imeshuka ikilinganishwa na Juni 2025.
Chaumma yapuliza kipyenga ubunge na udiwani, urais ngoma nzito Chama hicho kinaungana na vyama vingine vikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, ambavyo tayari vimeshatangaza ratiba ya uchukuaji na urejeshaji fomu za ubunge, udiwani na uwakilishi.
Takwimu ya watalii wanaofika nchini yapaa Ongezeko hilo ni kutoka watalii 922,692 mwaka 2021 hadi kufikia watalii milioni 2.41 mwaka 2025 huku idadi ya watalii wa ndani nao wakiongezeka kwa asilimia 307.9 kutoka watalii watalii 788,933...
PRIME Wataalamu watoa onyo mashindano ya kugida pombe Mashindano ya kugida pombe na hasa vinywaji vikali, yanaonekana kuongezeka kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii yakiwahusisha vijana.
Uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia sita Rais Samia Suluhu Hassan amesema uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka ukuaji wa asilimia 3.9 mwaka 2021 hadi 5.5 mwaka 2024, huku mwaka huu ukuaji ukitarajiwa kufikia asilimia sita.
Takwimu ya watalii wanaofika nchini yapaa Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya watalii wa kimataifa wanaofika nchini imeongezeka kwa asilimia 132.1.
Rais Samia ataja kiwango cha fedha zilizonaswa utoaji rushwa Rais Samia Suluhu Hassan amesema rushwa ni adui wa haki na kikwazo kikubwa cha maendeleo, hata hivyo Serikali imeimarisha mapambano dhidi ya rushwa na kufanikisha kuokolewa Sh211.9 bilioni.