Search

609 results for Nasra Abdallah :

  1. Rais Samia awasamehe wafungwa 1,082

    Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi, Aprili 27,2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni.

  2. Mvua zinavyoifanya Zingiziwa iwe eneo gumu la kuishi

    Kwa mujibu wa watumiaji wa daraja hilo, hali iliyopo sasa ni zaidi ya ile iliyokuwepo jana, huku Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) ikitabiri kuendelea kwa mvua hizo hadi Jumapili ya Aprili...

  3. Asilimia 79 ya wanawake wanasiasa wamedhalilishwa mitandaoni

    Udhalilishaji huo ni pamoja na ukiukwaji wa faragha za mtu, kuchafua sifa ya mtu, vitisho na vurugu za moja kwa moja, maneno na lugha ya kuudhi.

  4. Waliokuwa wapangaji Bonde la Msimbazi kulipwa Sh170,000

    Waliokuwa wapangaji katika nyumba zinazoathiriwa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wenye mikataba na wasio nayo, wote watafidiwa Sh170,000.

  5. Serikali kutoa mwongozo mahudhurio shuleni wakati wa mvua

    Mwongozo huo kutolewa na Kamishna wa Elimu, ukijumuisha mabadiliko ya ufundishaji

    New Content Item (1)
  6. PRIME Simulizi tukio la mauaji Kigogo Fresh kwa mganga wa jadi

    Mauaji yalitokea Aprili 21, 2024 eneo la Kigogo Fresh, Pugu wilayani Ilala polisi likisema chanzo kinadaiwa kuwa ni baada ya Tazani kumshutumu Mwinyimvua kumwibia mali alizokuwa akilinda.

  7. PRIME Soko la Kariakoo sasa ni mwendo wa kidijitali

    Moto ulisababisha hasara kwa wafanyabiashara kwa mali zao kuteketea. Kutokana na hilo, Serikali ilitenga Sh28 bilioni kwa ajili ya kulikarabati

  8. Miti 2,100 yapandwa mashuleni kuadhimisha miaka 60 ya Muungano

    Sambamba na hilo pia ni katika mwendelezo wa kampeni ya wizara hiyo ya 'Soma na Mti' iliyoanzishwa na Waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo, Suleiman Jafo, lengo likiwa kupanda miti milioni 14.5...

  9. PRIME  Wenye nyumba Bonde la Msimbazi washtukiwa kutaka malipo ya wapangaji

    “Mfano kuna waliojiandikisha kuwa ni wapangaji lakini tulipohakiki tukakuta ni walewale wenye nyumba ambao walishalipwa fidia, mbaya zaidi wengine wameweka hadi majina ya watoto wao kuwa ni...

  10. Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema

    Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza

Page 1 of 61

Next