Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

412 results for Peter Akaro :

  1. G Nako kuanzia Nako2Nako, Weusi hadi WCB Wasafi

    Kati ya wanamuziki Bongo wanaojua kubadilika kuendana na wakati, basi ni huyu G Nako a.k.a Warawara, The Kankara, The Finest of AR. mwamba anajua kipi mashabiki wanataka kwa wakati gani na mwisho...

  2. Sio Witness tu, hata Beyonce kapitia kwa Dolly Parton!

    RAPA Witness a.k.a Kibonge Mwepesi ni miongoni mwa wanawake waliofanya vizuri sana katika muziki wa hip hop Bongo. Alikuwa mshindi wa Coca-Cola Popstar 2004 na alishinda tuzo ya Channel O kupitia...

  3. Coleen wa Rooney anakula kivulini

    BAADA ya kuchumia juani, yaani zile panda shuka zilizokaribia kuisambaratisha ndoa yake na Wayne Rooney, 39, sasa mke wa mchezaji huyo wa zamani wa England na Manchester United, Coleen...

  4. Bongo Fleva ni nyumbani kwa P-Square kwa miaka 17 sasa!

    Kwa sasa mwanachama wa kundi hilo, Rudeboy (Paul) anasikika sana katika Bongofleva baada ya kushirikishwa na Harmonize katika wimbo wake mpya, Best Couple (2025) uliyotayarishwa na Cukie Dady.

  5. Jumba la J.Lo na Ben Affleck ladoda sokoni

    Hatimaye Jennifer Lopez, 55, na mtalaka wake, Ben Affleck, 52, wamefikia uamuzi wa pamoja wa kuliondoa sokoni jumba lao la kifahari lenye thamani ya Dola68 milioni lililopo Los Angeles baada ya...

  6. Yammi alivyomrejesha Nandy kwa Billnass

    Kutokana na kitendo cha Yammi kuachana na The African Princess, lebo yake Nandy, kimemfanya mwanamuziki huyu kurejea katika mtindo wa uendeshaji lebo kama ilivyo kwa mumewe Billnass, rapa...

    YAMMY Pict
  7. Aaliyah katika ndoto za Ramos kumpata Pilar

    Ikumbukwe Aaliyah aliyefariki dunia Agosti 25, 2001 katika ajali ya ndege huko Bahamas, alitoa wimbo huo chini ya Blackground Records na Jive Records akiwa na umri wa miaka 15 na hadi sasa ni...

  8. Sio PSG tu, hata Rima anaitaka Ballon d’Or ya Dembele

    Baada ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza, sasa kiu ya mashabiki wa Paris Saint-Germain (PSG) ni kuona mchezaji wao, Ousmane Dembele anashinda tuzo ya mchezaji bora...

  9. Picha lilivyoanza kati ya Beckham na Victoria wa Spice Girls  

    Akiwa na rafiki yake wakitazama runinga katika chumba cha hoteli, David Beckham (50), alimuona Victoria (51), katika video ya wimbo wa kundi lake la Spice Girls, muda huo huo alivutiwa naye na...

  10. Diamond hajapokea tuzo YouTube bahati mbaya

    Hivi karibuni Diamond Platnumz, mwanamuziki wa Bongofleva, akiwa huko Marekani alikabidhiwa tuzo (Diamond Creator Award) kufuatia kufikisha wafuatiliaji (subscribers) milioni 10 katika mtandao...

Page 1 of 42

Next