Wananchi wanaoishi ndani ya leseni ya mgodi waandamana wakitaka kujua hatima yao
Baadhi ya wananchi wa vitongoji vya Katomaini, Magema, Mzingamo na Ikumbayaga, vilivyoko katika Mtaa wa Nyamalembo, Manispaa ya Geita, wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita wakitaka...