Search

286 results for Robert Kakwesi :

  1. Askari anusurika kifo akimkabili chui

    Amesema askari huyo ambaye wa ofisi ya Kanda ya Magharibi, alijeruhiwa na chui katika jitihada za kumdhibiti ili asisababishe madhara zaidi kwa jamii baada ya kumjeruhi mtoto Salawa Mwanzalima.

  2. ‘Jengeni maghala kuepuka gharama za kukodi’

    Tabora. Vyama vya msingi vya ushirika mkoani hapa vimeagizwa kuhakikisha vinakuwa na maghala yake, ambayo mbali ya kuyatumia katika masoko ya tumbaku pia yatakuwa kama vitega uchumi vya vyama...

  3. Askari wa Tawa kortini wakidaiwa kuua watu sita

    Askari wanaoshtakiwa ni Shoka Haruna, David Kalikumbi, Mussa Nyarukende, Rosta Muigi, Ally Mussa na Abbas Mgweno wote kwa pamoja wakidaiwa kufanya mauaji ya Salum Said, Rajab Julius, Lule Mhidi,...

  4. Mstaafu jela au faini ya Sh1 milioni kwa kutoa rushwa

    Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu, Jesca Yegera (60) kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa Sh1milioni baada ya kupatikana na hatia ya kumpa rushwa Ofisa...

  5. Jokate ataka vijana wasiharakie mafanikio

    Baadhi ya vijana wamekuwa wakitaka mafanikio ya haraka pasipo kuwekeza katika mambo ya msingi kama elimu na kazi ambayo yanachukua muda mrefu.

  6. Madiwani wataka ‘kula kichwa’ cha ofisa ardhi

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga wamechongea Ofisa Ardhi Jasper Tito wakimtuhumu kuwa na kiburi na kutotimiza wajibu wake ipasavyo.

  7. Kata mbili kujaribiwa maboresho daftari la wapiga kura

    Sababu za kuchagua kata hizo ni ongezeko la watu, hali ya miundombinu ya mawasiliano, hali ya mazingira na mwingiliano wa watu kutoka nchi jirani katika maeneo ya mipakani.

  8. Wakulima wa tumbaku 870 wapewa motisha mbegu za mahindi

    Wakulima 870 waliolima tumbaku kwa tija katika Wilaya 29 zinazolima zao hilo nchini wamezawadiwa mbegu za mahindi na Bodi ya Tumbaku (TTB) ili walime kwa ajili ya chakula badala ya kununua...

  9. Mwanaume aliyekutwa wodini akimhudumia kichanga ‘alamba’ ShSh50, 000

    Masasela alikutwa wodini humo akimhudumia mtoto wakati mke wake, Sofia Makoye (28) aliyejifungua mtoto wao wa saba akipoenda bafuni kuoga.

  10. Polisi yamshikilia DED Igunga, kusafirishwa kwenda Kigoma

    Kabla ya kuhamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Msabila alikuwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.

    New Content Item (1)

Page 1 of 29

Next