Search

147 results for Alodia Dominick :

  1. PRIME Chozi la Naibu Waziri laiibua CCM

    Wakati mbunge wa Bukoba Mjini, Steven Byabato (CCM) akimwaga chozi jukwaani akidai baadhi ya watu wanamkwamisha jimboni kwake, uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukoba umemtaka...

  2. Naibu Waziri amwaga chozi jukwaani akidai kukwamishwa jimboni

    Mbunge Byabato aliyechaguliwa kuwakilisha jimbo la Bukoba mjini uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimwaga machozi Oktoba 16, 2023 wakati wa hafla ya uzinduzi na kukabidhi mradi wa ujenzi wa ukarabati...

  3. Adaiwa kuwaua wanawake wawili, ajisalimisha polisi

    Wanawake wawili wa familia moja, Steria Gabriel (73) na Paulina Mathias (51), wakazi wa Kijiji cha Nyaishozi Wilaya ya Karagwe wameuawa kwa kukatwa panga na mtu anayedaiwa kuwa ni mmoja wa...

  4. Afariki dunia baada ya kuzama Ziwa Victoria

    Jumla ya watu watatu ndani ya kipindi cha miezi mitatu mwaka huu wamezama ndani ya Ziwa Victoria eneo la fukwe za Gymkana mjini Bukoba.

  5. Wanafunzi Veta waililia Serikali mikopo

    Chuo cha Veta Kagera kilizinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mwaka 2022 na kina uwezo wa kudahili wanafunzi 400 wa kozi ndefu na wengine 1, 000 kozi fupi kwa...

  6. Waomba taasisi za ‘kausha damu’ zishugulikiwe

    Kamati ya ulinzi na usalama ya Manispaa ya Wilaya ya Bukoba imeombwa kuziwajibisha taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikijihusisha na mikopo umiza maarufu kama kausha ‘damu’ ambazo baadhi...

  7. Sh19.5 bilioni kuboresha bandari ya Bukoba

    Bandari ya Bukoba inatarajiwa kufanyiwa maboresho ikiwemo kujengwa gati jipya, kuboresha magati yaliyopo, ujenzi wa jengo la abiria, ujenzi wa maegesho ya magari, ujenzi wa miundombinu ya umeme...

  8. Miradi ya Sh26 bilioni kufikiwa na Mwenge Kagera

    Miradi 57 ya maendeleo yenye thamani ya Sh26.3 bilioni itakaguliwa, kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi na Mwenge wa Uhuru katika halmashauri nane za mkoa wa Kagera.

  9. Mbowe kuzindua Operesheni +255 mjini Kagera

    Mkutano huo wa uzinduzi utaongozwa na kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi kadhaa wa kitaifa.

  10. VIDEO: Ndege nyingine yaanguka Ziwa Victoria, marubani wanusurika

    Ndege ya kijeshi iliyokuwa na marubani wawili imeanguka ndani ya maji ya Ziwa Victoria, hatua chache kutoka uwanja wa ndege wa Bukoba.

Previous

Page 2 of 15

Next