Search

110 results for Bahati Chume :

  1. ’Chungeni watoto wakati wa likizo’

    Zikiwa zimebaki siku chache wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari waanze likizo, wazazi na walezi wametakiwa kuweka mpango mkakati wa kufahamu ratiba za watoto wao wakiwa nyumbani ili...

    New Content Item (2)
  2. Mvua Siha zaleta msiba, mwili wa mwanamke wapatikana

    Wananchi wa Kata Songu Kijiji cha Ndumbaru, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro wamefanikiwa kupata moja ya miili ya wanawake wawili wanaosadikiwa kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa...

  3. Figisu mradi wa maji watua kwa RC

    Malalamiko ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kuhusu hujuma katika mradi mpya wa maji wa Gararagua, ulioigharimu Serikali zaidi ya Sh1.7 bilioni, yametua kwa Mkuu wa Mkoa wa...

  4. Siha watishia kutowapa Polisi ushirikiano

    Siha. Wananchi wa Kijiji cha Ngumbaru, wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, wamatishia kuacha kuwataja wauza madawa ya kulevya ikiwamo bangi wakidai kuchoshwa na tabia ya watuhumiwa kukamatwa kwa...

  5. Viongozi wa dini waombwa kufundisha maadili kwa vijana

    Viongozi wa dini wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wameombwa kuwapa vijana elimu ya dini ambayo itawajengea uwezo wa kuacha kufanya maovu ikiwamo matumizi ya dawa za kulevya kama bangi na mirungi...

  6. DED Siha apiga marufuku michango chakula cha mitihani

    Mkurungenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Haji Mnasi amepiga marufuku shule za msingi kuchangisha wazazi fedha kwa ajili ya chakula kwa wanafunzi wanaofanya mtihani wa darasa...

  7. Wafanyabiashara hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wafanyabiashara wa Soko la Walaji Bomang'ombe, Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko ikiwamo kipindupindu kutokana na mrundikano wa taka katika eneo hilo.

  8. Makandarasi wanaochelewesha kazi wapewa onyo

    Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Christopher Timbuka amesema atawachukulia hatua makandarasi wa ujenzi watakaoshindwa kumaliza kazi kwa mujibua wa mkataba unavyowataka.

  9. Sado zaleta kasheshe wakulima, wafanyabiashara Siha

    Wananchi wa Kijiji cha Donyomurwa kata ya Donyomurwa Wilaya Siha mkoani Kilimanjaro, wametaka kuchukuliwa hatua kwa wafanyabiashara wilayani humo wanaoendelea kununu mazao ikiwamo mahindi na...

  10. Wananchi Siha walia kufunguliwa kituo cha afya

    Wananchi wa Kata ya Orkolili wilayani siha mkoani Kilimanjaro,wameombwa serikali kufungua kituo cha Afya kilichopo kwenye kata hiyo ili kuwaepusha kutumia gharama kubwa kufuata huduma hiyo...

Previous

Page 2 of 11

Next