Search

65 results for Jafari Juma :

  1. Jaymoe siyo wa kupewa maua, anahitaji heshima

    Makumbusho na Kijitonyama. Zikawa maarufu zaidi ya Mikocheni na Mbezi. Ikawa ujanja kupiga misele au kuishi kipande hicho. Makumbusho ikawa juu kama 'Malibu' ya Bongo hivi.

  2. Simanzi ajali yaua 13 siku ya Pasaka

    Imekuwa Pasaka ya majonzi kwa familia za watu 13 baada ya ubovu wa barabara na utelezi uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Ruvuma, kutajwa kuwa chanzo cha ajali iliyoondoa uhai wao.

  3. Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na miaka zaidi ya 60 katika utoaji wa elimu bora

    Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (Tengeru Institute of Community Development-TICD) awali ilijulikana kama Chuo cha Maendeleo ya Jamii (Community Development Training Institute- CDTI Tengeru).

  4. Miaka 20 ya Premier Agencies katika kutoa huduma bora na kulipa kodi

    Kodi ni msingi wa maendeĀ­leo ya Taifa kwa sababu ndizo zinazotumika katika kutenĀ­geneza ustawi wa Taifa kwa kuboresha huduma za jamii na miundombinu.

  5. MDH: Tuzo za NBAA na TRA zimetupa hamasa ya kuendelea kufanya vizuri

    Management and Development for Health (MDH) ni moja ya taasisi inayofuata sheria za kodi pamoja na ubora wa uandaaji wa taarifa za kifedha.

  6. CUF ilivyoibwaga ACT ubunge wa Eala

    Ukiachana na matokeo ya kupiga kura za kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), macho ya wengi yalikuwa kwenye mchuano wa nafasi ya kiti cha upinzani kilichokuwa kikiwania na...

  7. Miaka miwili bila Mzee Mkapa, BMF na Watanzania waendelea kumuenzi

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa anatimiza miaka miwili tangu alipofariki usiku wa kuamkia Julai 24, 2020 kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

  8. Samia awaonya bodaboda, warusha lawama kwa trafiki

    Awataka kujiepusha kutumia kwenye vitendo vya uhalifu

  9. Hadija: Ukatili wa ndoa ulinifanya nibadili imani

    Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine za Afrika, vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kwa kasi kubwa.

  10. Miili ya waliozama mto Mori kuzikwa kesho

    Miili ya watu watano waliofariki dunia baada ya mtumbwi kuzama ndani ya mto Mori itagwa na kuzikwa kwa pamoja katika mazishi yatakayofanyika kesho Alhamisi Mei 12, 2022.

Previous

Page 2 of 7

Next