Profesa Mkumbo: Lugha ya kufundishia isitumike kuficha changamoto za elimu
Ni mvutano wa wasomi katika mjadala wa lugha Kiswahili itumike kuwa ya kufundishia, wakati wengine wakiunga mkono, baadhi yao wamepinga hilo wakisema Kiingereza na Kiswahili zitumike pamoja.