Search

49 results for Zourha Malisa :

  1. Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tisa akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi.

  2. Tunawezesha Taifa

    za watu kuanzia wenye kipato cha chini, cha kati na cha juu. Kukuletea taarifa sahihi kwa uthabiti: Tutaendelea kuwa chombo kinachowapa wasomaji na watazamaji uhakika wa maudhui yanayosambaa...

  3. Rais Samia: Hatuwezi kuajiri kila mwaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza jeshi la magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi.

  4. Rais Samia, Mbowe wateta Ikulu

    Saa chache baada ya kutoka gerezani mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekutana na Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam.

  5. Dk Mwigulu asema benki ziliishiwa pumzi

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameifufua sekta ya fedha nchini baada ya kupitia kipindi kigumu japo haikuwahi kusemwa ambacho amesema benki nyingi ziliishiwa...

  6. VIDEO- Kauli ya kwanza ya Mbowe akitoka gerezani

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewaambia waandishi wa habari waliomfuata kutoka gerezani hadi nyumbani kwake kuwa sasa ni wakati wa kunyamaza, lakini atakuja kuzungumza na viongozi na...

  7. Balozi wa Marekani: Kufutwa kesi ya Mbowe fursa Tanzania kubadili ukurasa

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Donald Wright amesema kufutwa kwa kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu ni fursa kwa Tanzania kubadili ukurasa.

  8. Kibatala: Tunafurahi, tulitimiza wajibu wetu

    Kiongozi wa jopo la mawakili waliokuwa wakimtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Peter Kibatala ameeleza furaha yake baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kufuta kesi...

  9. Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa na hekima na uvumilivu wa kusikiliza maoni ya wengine.

  10. Niwemugizi:Rais Samia usikubali kulinganishwa na Mungu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.

Previous

Page 2 of 5

Next