Hiki hapa kinachowakosesha vijana elimu ya uzazi wa mpango Imeelezwa baadhi ya jamii hasa za vijijini huwachukulia vijana wanaofuatilia uzazi wa mpango kuwa ni wahuni.
Pombe, energy ni balaa kwa ogani “Nimeshazoea, kwa sasa siwezi kufurahia kunywa pombe kali bila kuchanganya na energy drink (kinywaji cha kuongeza nguvu), pasipo kufanya hivyo ninahisi kama kinywaji changu kinapungua ladha,”...
Jamii yatahadharishwa kuchanganya dini na siasa Imeelezwa kuwa, dini ni njia ya maisha inayokusudia kumuongoza mtu kuelekea kwa Mungu huku siasa ikihusika na masuala ya utawala.
Wanawake wawezeshwe kiuchumi kuweka uwanja sawa wa kisiasa "Tangu nikiwa shule ya msingi, nilikuwa na ndoto ya kuwa kiongozi. Mnamo mwaka 2019, nilifanya ndoto hiyo kuwa kweli kwa kujitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Chakula...
Gwajima: Usawa wa kijinsia haubomoi taasisi ya ndoa, unaimarisha Jamii imehimizwa kuachana na dhana potofu kuwa kuwa uwepo wa usawa wa kijinsia katika masuala mbalimbali ikiwemo uongozi ni moja kati ya sababu inayopelekea kuteteleka kwa taasisi muhimu ya ndoa.
Kilio cha haki za watoto chapelekwa kwa Bunge Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi amesema matukio ya ukatili kama kubakwa, kulawitiwa, kutekwa, na mauaji yamekuwa yanaongezeka.
Aga Khan kusaidia kupoza gharama matibabu kwa wajasiriamali wanawake Wanawake hao watawezeshwa kupata bima za matibabu kwa gharama ya Sh40,000 kwa mwaka.
Zingatia haya kabla hujamshika mtoto mchanga Dar es Salaam. Mtoto anapozaliwa ni furaha, hasa katika maisha ya mwanamke pale wakati sahihi unapowadia. Siyo kwa mama na baba pekee bali pia hata wazazi, familia pamoja na jamii inayomzunguka...
Wataka mtoto wa kike apewe fursa kutoa maoni Dar es Salaam. Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike (IDGC), Oktoba 11 mwaka huu, jamii imetakiwa kuwapa fursa mabinti ya kutoa maoni yao katika masuala...
Jinsi vituo vya umahiri Tanzania vitakavyochochea mapinduzi ya teknolojia Ujenzi wa vituo vya umahiri nchini Tanzania vinatajwa kuleta mapinduzi katika utoaji wa elimu na kuzalisha wataalamu wa kutosha katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama)...