Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Wenzake Sabaya watiwa hatiani, wakubali kulipa Sh1 milioni

    Washtakiwa wanne kati ya watano katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wametiwa hatiani baada ya kukiri kutenda makosa mawili.

  2. Mchungaji atuhumiwa kubaka muumini Rombo

    Mchungaji huyo anatuhumiwa kufanya unyama huo alipokuwa akimwombea mtoto mwenye ugonjwa wa kuanguka.

  3. Wabunge watia mkono sakata tozo

    Wakati wadau mbalimbali wakiwanyooshea kidole wabunge kwa kupitisha sheria inayoruhusu tozo za miamala ya kielektroniki, baadhi ya wabunge wametetea tozo hizo, huku wakisema suala la kiwango cha...

  4. Kilimanajro kutoa chanjo ya polio kwa watoto 474,000

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), ugonjwa wa polio uliripotiwa kulipuka upya nchini Malawi Februari mwaka huu, hii ni baada ya WHO kutangaza Agosti 2020 kwamba bara la Afrika halikuwa...

  5. RC ataja mafanikio ya sensa Kilimanjaro

    Mkoa wa Kilimanjaro tayari umehesabu kaya 441,000 sawa na asilimia 101.5, katika Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza Agosti 23, mwaka huu.

  6. Rais Samia ataka mahusiano mazuri Wizara, Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchini na Jeshi la Polisi kuwa na mahusiano mazuri.

  7. Rais Samia ataja sababu ya Jeshi la Polisi kuwa legelege

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefungua kikao kazi cha siku tatu cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi makao makuu, makamanda wa polisi wa mikoa na vikosi kinachofanyika katika ukumbi wa...

  8. Rais Samia aonya vikao kazi vya polisi kudhaminiwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelionya jeshi la Polisi nchini kutotumia wadhamini kufanya vikao kazi na badala yake, wafanye wenyewe.

  9. Kesi mauaji askari Loliondo yapigwa kalenda

    Kesi hiyo inayowakabili washtakiwa 24, akiwemo mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Laizer pamoja na madiwani 10, imeahirishwa tena hadi Septemba 12, 2022 kutokana na upelelezi wake...

  10. IGP Wambura: Takwimu makosa ya jinai yaongezeka

    Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema takwimu za makosa makubwa ya jinai nchini zimeongezeka kipindi cha Januari hadi Juni mwaka 2022.

Previous

Page 104 of 145

Next