Majeruhi wa ajali ya ‘ambulance’ Same ahamishiwa KCMC Mmoja wa majeruhi wa ajali iliyouwa muuguzi na dereva wa zahanati ya Kisiwani wilayani Same,Parasetwi Peutu(50) amehamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini(KCMC) baada ya kuumia...
Muuguzi, dereva gari la wagonjwa wafa ajalini Muuguzi wa zahanati ya Kisiwani na dereva wa gari la wagonjwa wamefariki dunia baada ya gari hilo kupinduka wakati wakimuwahisha mgonjwa hospitali.
RC Kilimanjaro ataka ahusishwe kukamatwa wanaopotosha chanjo corona Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza kukamatwa kwa mtu yeyote atakayejihusisha na kupotosha kuhusu chanjo ya corona na vyombo vya Dola vimhusishe katika kuandaa mashitaka.
Wanandoa waliozaliwa siku moja, wafa na kuzikwa siku moja Ni Mshangao na Maajabu ya aina yake yaliyoambatana na Simanzi na Vilio pale Wanandoa wawili waliozaliwa siku moja,mwaka mmoja na kufariki siku moja ambapo wamezikwa leo kwa pamoja katika kata...
Hali halisi biashara ya kusafirisha maiti Dar Wakati Serikali ikitangaza ongezeko la wagonjwa wa corona na vifo vyake, biashara ya usafirishaji maiti imeonekana kushika kasi zaidi wakati huu, Mwananchi limebaini.
Sita mbaroni wakituhumiwa kuchoma nyumba Hanang' Mgogoro wa ardhi kwa baadhi ya wana Kijiji cha Dirma Wilayani Hanang' wanaodaiwa kuvamia eneo la hifadhi ya msitu wanadaiwa kuchoma nyumba moja na kubomoa nne za kaya ya wakazi wa Waama
Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 Bibi Iluminata Mosha aliyefariki dunia akiwa na miaka 106 huenda akaweka historia ya kufa akiwa na umri mkubwa zaidi nchini Tanzania na nchi za Afrika Mashariki.
Marufuku kupanda basi, daladala bila barakoa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Stephen Kagaigai amepiga marufuku abiria wanaoingia ndani ya daladala na mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kuingia bila kuvaa barakoa ili kupunguza maambukizi ya...
Mghwira aagwa Arusha Shughuli za kuendelea kumuaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira zinaendelea nyumbani kwake Manyata Jijini Arusha huku tahadhari za ugonjwa wa corona zikiendelea kuchukuliwa.
Simbachawene awaonya polisi kubambikia watu kesi Waziri Simbachawene ameshauri mafunzo ya polisi kuongezwa kutoka miezi tisa hadi 12 ili kukabili changamoto ya ukosefu wa uadilifu miongoni mwa askari.