Mtoto mchanga akutwa amekufa kwenye maji Moshi Mtoto huyu anaonekana alitupwa hapo kwenye maji siku mbili au tatu zilizopita, maana tayari alianza kuliwa na wadudu wa kwenye maji.
Ofisa kilimo Moshi atupwa jela kwa kumjeruhi binti wa kazi Akitoa hukumu Septemba 20, 2024 hakimu Mkisi alisema baada ya mahakama kujiridhisha pasi na shaka na ushahidi uliotolewa mahakamani, mshitakiwa alitiwa hatiani kwa kutenda kosa hilo na kuhukumiwa.
KKKT yakemea matukio ya utekaji, mauaji Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeungana na makundi mbalimbali ya Watanzania kulaani matukio ya mauaji na utekaji yaliyotokea nchini, huku likiitisha maombi maalumu ya...
Dk Biteko aungana na waombolezaji maziko ya Askofu Sendoro Mwanga Katika ibada ya maziko inaongozwa na mkuu wa KKKT, Dk Alex Malasusa
Dk Biteko kuongoza waombolezaji maziko ya Askofu Sendoro Askofu Sendoro alifariki dunia Septemba 9, 2024 kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Kisangiro, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro saa 1:30 usiku
DC Mwanga aeleza maneno ya mwisho ya Askofu Sendoro Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mwanahamis Munkunda, amesimulia mazungumzo ya mwisho kati yake na Askofu Chediel Sendoro kabla ya kifo chake.
Vilio vyatawala mwili wa Askofu Sendoro ukiagwa Mwanga Huzuni na majonzi vimetanda miongoni mwa mamia ya waombolezaji waliohudhuria katika Kanisa Kuu la Mwanga, Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, wakati mwili wa aliyekuwa...
Fursa nyuma ya unywaji wa kahawa ya ndani Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema unywaji wa kahawa nchini bado si wa kuridhisha, hivyo ameitaka Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kushirikiana na wadau kuwahamasisha Watanzania...
Wahamiaji 14 kutoka Ethiopia wakamatwa Kilimanjaro Wahamiaji 14, raia wa Ethiopia, wamekamatwa na Jeshi la Uhamiaji mkoani Kilimanjaro wakituhumiwa kuingia nchini kinyume cha sheria.
VIDEO: Polisi yapiga marufuku maandamano ya Chadema Misime ametoa onyo kwa viongozi wa Chadema kuacha kuhamasisha uvunjifu wa amani na kuwa atakayekaidi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.