Wenye VVU watakiwa kutoacha kutumia dawa Watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi nchini Tanzania wametakiwa kuzingatia matumizi ya dawa za kufubaza virusi hivyo na kuwa wazi ili kuushinda unyanyapaa.
Kaka adaiwa kumuua dada yake kwa jembe Imedaiwa kuwa ndugu hao walikuwa na mzozo kwa muda mrefu kutokana na mtuhumiwa kukataa kumsaidia mama yake
Wafadhili wajitoa dawa za Ukimwi Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa.
Watanzania waliokamatwa Kenya waachiwa Watanzania wanne waliokuwa wakishikiliwa Kenya kwa kosa la kuingia nchini humo bila kibali na kuacha kuvaa barakoa wameachiliwa huru baada ya kulipa faini ya Sh2.8 milioni sawa na (Ksh140).
Polisi wapiga waandishi wa habari wakimkamata Mbowe W aandishi wa habari mkoani Kilimanjaro akiwamo wa gazeti la Mwananchi, Janeth Joseph walijikuta katika wakati mgumu katika mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe baada ya...
Amchinja mkewe mjamzito wa miezi nane, ajisalimisha Anthony Asenga (33), mkazi wa Kijiji cha Mrere wilayani Rombo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, Happiness Sianga aliyekuwa na ujauzito unaokadiriwa kuwa wa miezi minane.
Machungu ya laini za simu kuzimwa Usajili wa laini za simu kwa alama za vidole umeingia saa za lala salama huku kukiwa na hofu ya mamilioni ya laini zisizosajiliwa kuzimwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Shule zafunguliwa, changamoto kibao Wakati shule zikifunguliwa jana, mrundikano wa wanafunzi umeonekana kuwa changamoto kubwa kwa shule za msingi huku baadhi ya wazazi wakishindwa kuwaandikisha watoto wao kutokana na kukosa vyeti...
MKONDO WA SHERIA: Wadau washauri mabadiliko ya dhamana kwa watuhumiwa Wakati kilio cha Katiba mpya kikiwa hakijatulia, kuna kilio kipya kinazidi kushika kasi; dhamana kwa watuhumiwa.
Watoto 168 wazaliwa mkesha wa mwaka mpya 2020 Mkesha wa kuukaribisha mwaka 2020 umekuja na baraka ya watoto 168, waliozaliwa usiku wa kuamia jana katika zahanati, vituo vya afya na hospitali mkoani Dar es Salaam.