Mwili wa mtoto Janeth wapatikana ziwani Mwili wa mtoto Janeth James (6) aliyesombwa na mafuriko katika Mto Mirongo, Alhamisi iliyopita ulipatikana jana ukielea juu ya maji ndani ya Ziwa Victoria, eneo la Kirumba jijini hapa.
Kardinali Pengo alazwa Muhimbili Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kutokana na ugonjwa ambao haujawekwa wazi.
Profesa Maghembe awekewa pingamizi Wakati kampeni zikianza, wagombea mbalimbali wamewekewa pingamizi huku baadhi ya majina yakipita bila kupingwa kwa vyama mbalimbali.
Masha amkimbia Wenje, amvaa Ngeleja, Arfi aibukia CCM >Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya nchi, Lawrence Masha amemkwepa hasimu wake kisiasa, Ezekia Wenje katika Jimbo la Nyamagana, Mwanza na kwenda kugombea ubunge Sengerema ambako atavaana na...
Ulinzi waimarishwa kwa Magufuli >Saa chache baada ya Dk John Magufuli kutangazwa kuwa mteule wa CCM kuwania urais, ulinzi umeimarishwa kwa mgombea mwenyewe, nyumbani kwake eneo la Ada Estate, Dar es Salaam na jimboni Chato...
Barabara zote zaelekea Dodoma Dodoma. Wakati vikao vya juu vya CCM vikikaribia kuanza mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, mji wa Dodoma umeanza kupokea wageni kutoka maeneo mbalimbali .
‘Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa’ Wanachama 11 wa Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya...
Serikali yapiga ‘stop’ ajira 70 za Uhamiaji Serikali imesitisha ajira 70 za konstebo na koplo wa Uhamiaji baada ya kuzuka kwa tuhuma za upendeleo uliokithiri wakati wa usaili.
Mrithi wa Ekelege ‘amkaanga’ kortini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa msamaha uliotolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo...