Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1132 results for Hadija Jumanne :

  1. Liang na Chupaza kortini kwa madai ya kukutwa na kobe 104

    Raia wa China, Liang Zhou Liang (37) na Happyphania Chupaza (31) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la kukutwa kobe 104, kinyume cha sheria.

  2. Mahakama Kuu yasimamisha uamuzi kesi ya Dk Slaa Kisutu

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imesimamisha uamuzi wa kesi inayomkabili mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbroad Slaa, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, iliyopangwa...

  3. Upelelezi kesi ya wanaodaiwa kuchana noti za Sh4.6 milioni upo hatua za mwisho

    Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwamo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), upo katika hatua za mwisho kukamilika.

  4. Kesi ya kusafirisha kilo 447 za heroin na methamphetamine upelelezi bado

    Serikali imeieleza Mahakama kuwa, bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na methamphetamine zenye uzito wa kilo 447.3 inayowakabili raia wanane wa...

  5. Anayedaiwa kuiba mita za maji aendelea kusota rumande

    Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuiba mita za maji inayomkabili mfanyabiashara Daud George (28).

  6. Kortini kwa tuhuma za kujipatia Sh12.5milioni kwa udanganyifu

    Mkazi wa Iringa, Anania Mtafya, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, akikabiliwa na shtaka la kujipatia Sh12.5 milioni kwa udanganyifu.

  7. Mshtakiwa adai hayupo tayari kusikiliza kesi yake, Mahakama yamgomea

    Wakati washtakiwa wengi ambao hawana dhamana, wakiomba usiku na mchana kesi zao zisikilizwe haraka na kutolewa uamuzi, hilo ni kwa mshtakiwa Pascal Daima (39).

  8. Kesi ya anayedaiwa kughushi nyaraka za mafao kuunguruma Januari 29

    Serikali imesema inatarajia kuwa na mashahidi wanane na vielelezo vinne katika kesi ya kughushi nyaraka inayomkabili mshtakiwa, Idd Mmanga.

  9. Dhamana ya Dk Slaa ngoma bado nzito

    Mawakili wa mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Wilbroad Slaa, anayekabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wamedai haki ya mteja wao inakandamizwa.

  10. Wanaodaiwa kusafirisha kilo 1500 za bangi, wanaendelea kusota rumande

    Serikali imesema uchunguzi unaendelea katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa kilo 1350, inayomkabili Mohamed Bakari (40) na wenzake, Suleshi Mhairo (36).

Previous

Page 16 of 114

Next