Mwanafunzi IFM azikwa bila kichwa kijijini kwao, mama mzazi atoa ujumbe
Aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba aliyeuawa na mwili wake kukutwa ukielea katika Mto Msimbani, eneo la Baracuda jijini Dar es Salaam, umezikwa katika makaburi...