RC Babu awaomba wazawa kuwekeza hoteli Mlima Kilimanjaro
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewataka wawekezaji na wafanyabiashara wazawa wa mkoa huo kuwekeza zaidi katika sekta ya utalii kwa kujenga hoteli ili kukabiliana na wingi wa watalii...