Search

67 results for Angetile Osiah :

  1. Kisa namba! Manula, Kakolanya wazua jambo Simba SC

    Ushindani wa namba wa makipa wa Simba, Aishi Manula na Beno Kakolanya uanza kuibui minong’ono kuhusu nani anayestahili kuanza katika kikosi cha kwanza.

  2. Angetile atajwa mkandarasi wa soka wa Kichina

    KATIBU wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah ametajwa kama mkandarasi wa soka wa Kichina kutokana na kazi aliyoifanya kwenye uongozi wake.

  3. Mkude, Gadiel waibua mjadala

    Sakata la wachezaji wa Simba Jonas Mkude, Erasto Nyoni na Gadiel Michael kuitwa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ licha ya kuondolewa ndani ya klabu yao kwa utovu wa nidhamu, limeibua mjadala.

  4. Mbunge ashauri ongezeko kodi wachezaji wa kigeni

    Wakati wanasoka wa kigeni wanaocheza ligi mbalimbali duniani wakibanwa na makato ya kodi kwenye mishahara na fedha wanazoingiza, hali imekuwa tofauti kwa wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

  5. Katibu TFF aishauri Yanga

    Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka (TFF), Angetile Osiah amelishauri Baraza la Wadhamini la Yanga kutopuuza taratibu za kikatiba wakati huu wanapojaribu kumaliza mgogoro wa...

  6. Kiwango cha Serengeti Boys chashtua, wapigwa 5-0

    Kiwango kilichoonyeshwa na timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys kwenye michuano ya Uefa Assist, kimeshtua mashabiki wa soka ikiwa ni mwenyeji wa Fainali za Afcon...

  7. VIDEO-Mkurugenzi wa MCL, Naibu Spika wang’ara Mbeya Tulia Marathon

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Francis Nanai na Naibu Spika Ackson Tulia wamemaliza mbio za Mbeya Tulia Marathoni katika kundi la kwanza kwenye mbio za kilomita 5.

  8. Kamati, hukumu doa Ligi Kuu Bara

    Dar es Salaam. Achana na Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu juzi wakiwatimulia vumbi mahasimu wao, Simba na kuwaacha na sintofahamu, habari mpya ni namna mabosi wa zamani wa mpira walivyoichambua Ligi...

  9. Wapongeza uhuru wa kamati Fifa

    Uamuzi wa kufungiwa miaka minane kwa rais wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter na mwenzake wa Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), Michel Platini umetafsiriwa kwa mitazamo tofauti na...

  10. ‘Sh1.6 bilioni idaiwe wizara siyo TFF’

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeambiwa iikabe koo Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo kuhusu fedha za kodi ya makocha wa kigeni badala ya kulibebesha mzigo Shirikisho la Soka...

Previous

Page 4 of 7

Next