Mwenge wazindua madarasa shule iliyoezuliwa na upepo, mvua 2022
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Godfrey Mzava leo Septemba Mosi, 2024, amezindua vyumba viwili vya madarasa vilivyojengwa katika Shule ya Msingi Ntungwa, iliyopo Kata ya Mkomba...