Search

523 results for Mgongo Kaitira :

  1. Katibu Bakwata Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Kamanda Chatanda amesema uchunguzi wa awali umebaini Abdulmalick kabla ya kutekeleza tukio hilo, alikuwa mtunza stoo ya vifaa katika mradi wa ujenzi wa jengo la Bakwata Complex linalojengwa...

  2. Mahakama yatupa maombi kumshitaki DC Makilagi

    Maombi hayo yametokana na hatua ya Mchungaji wa Kanisa la Assemblied of God Gospel Church International (AGGCI), Benson Kitonka, kutaka kumshitaki Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi...

  3. Adaiwa kumchinja mkewe mjamzito, amchana tumbo

    Kamanda Ambwao amesema tukio hilo lilitokea Januari 30, 2024, saa 11 jioni na katika maelezo ya awali yanaonyesha tukio hilo linahusiana na imani za kishirikina.

  4. Wanafunzi 130 watumia tundu moja la choo

    Baada ya Serikali kuanza kutekeleza Sera ya Elimu ya mwaka 2014 yenye utoaji elimu bila malipo, kumekuwa na ongezeko kubwa la wanafunzi huku miundombinu, walimu na vifaa vikipungua.

  5. Mvua zilivyoharibu barabara Mwanza, wakazi walalama

    Kutokana na kukatika kwa barabara ya Mahina Kati - Kagomu, wananchi wamejitengenezea njia mbadala inayochepuka, kwa kupanga mawe kuziba maeneo yaliyoharibika.

  6. Wadaiwa kuzika juu ya makaburi yaliyojaa

    “Nimemuomba mkurugenzi wa halmashauri kwenye bajeti iliyotengwa itengwe fedha kidogo kwa ajili ya kujenga uzio na ofisi katika makaburi yale ili kukomesha vitendo hivyo," amesema Diwani wa...

  7. Ofisa Elimu kortini akidaiwa kugonga, kuua watu watatu

    Akisoma mashtaka hayo kwa kushirikiana na Mwendesha Mahitaka wa Polisi, Juma Kiparo, Wakili wa Serikali, Frank Nchanila amesema shitaka lingine linalomkabili ofisa elimu huyo ni kuendesha gari...

  8. Samaki wapungua Ziwa Victoria

    Vijana 1,213 kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wanatarajiwa kunufaika na mradi wa boti hizo 55, huku wengine 989 wakitarajiwa kunufaika na vizimba 222.

  9. Operesheni ya Polisi yawadaka 335 Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu 335 kwa makosa mbalimbali ikiwemo mauaji, uhamiaji haramu na wizi wa mali.

  10. Hoja tatu za DC Makilagi akipinga kukaidi amri ya Mahakama

    Watuma maombi wanataka mahakama imuite Mkuu wa Wilaya Amina Makilagi aeleze kwa nini amekaidi amri halali iliyotolewa na mahakama.

Previous

Page 4 of 53

Next