Search

220 results for Noor Shija :

  1. Mpina aibua hoja tata bungeni

    Huku akimshangaa Waziri Simbachawene kwa kutosema lolote au kuonekana ameifanyia kazi kauli iliyotolewa Januari 2024 na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, kwamba kuna baadhi...

  2. Nukuu za Lowassa, Mwinyi zilivyobeba hotuba ya Simbachawene

    “Tutawapima viongozi na watumishi kwa namna wanavyotimiza majukumu yao, hatutawaonea aibu viongozi na watumishi wazembe, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Tutaendeleza pia juhudi za kupambana...

  3. Mbunge azikataa ‘English Medium’ za Serikali

    Imeelezwa kuwa Manispaa na halmashauri nchini zimezua tabia ya kujenga shule zenye mkondo wa Kiingereza kwa maana ya ‘English Medium’

  4. Tarura yapewa fedha kiduchu, Kamati ya Bunge yatoa angalizo

    “Azma ya Tamisemi kusimamia miradi ya ujenzi wa barabara na miundombinu inayoendana na barabara hizo inaweza kufanikiwa kwa kuongeza fedha kwa Tarura,” amesema Dennis Londo.

  5. PRIME Mchengerwa katikati ya Mwalimu Nyerere, Mkapa

    “Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema “Hakuna shida yoyote ya watu ambayo tunaweza sema kuwa haituhusu – J.K. Nyerere 1962 Dar es Salaam.”

  6. Tamisemi yaomba Sh10 trilioni ikitaja vipaumbele saba

    Fedha hizo zinajumuisha Sh3.415 trilioni kwa miradi ya maendeleo.

  7. Majaliwa atoa maagizo kuhusu kikokotoo, usimamizi hifadhini

    Pia wasimamizi wa hifadhi za Taifa watakiwa kuzingatia sheria kuhusu uvamizi wa wanyama.

  8. Dunia inavyozungumzia mashambulizi ya makombora ya Iran  dhidi ya Israel

    "Ninatoa wito wa kukomeshwa kwa hatua yoyote ambayo inaweza kuchochea kuongezeka kwa vurugu ambayo inaweza kuhatarisha Mashariki ya Kati kwenye mzozo mkubwa zaidi."

  9. PRIME Wiki ya kibano kwa Serikali bungeni

    Hoja tano zilizotolewa na wabunge ni kuhusu kanuni mpya ya kikokotoo, mawaziri kutoa ahadi hewa, tozo ya laini za simu ya Sh2,000 na Sh10,000 kuchangia bima ya afya, katikakatika ya umeme na...

  10. Mashambulizi ya Iran yajeruhi binti Israel

    Usiku wa kuamkia leo Iran iliishambulia Israel kwa ndege zisizo na rubani zenye makombora takriban 300 na makombora yanayojiendesha yenyewe 120.

Previous

Page 4 of 22

Next