Mchungaji: Watoto wapewe malezi bora wangali wadogo
Amesema kwa kawaida watoto wana tabia ya kuiga vitendo na maneno, hata mwenendo mzima kutoka kwa wazazi au walezi wao, hivyo wanapofikisha umri wa utu uzima wanaona mambo wanayoyafanya ni kawaida...