Wizara nne kikaangoni wiki ya kesho Hoja nyingine kubwa ambazo zinatarajiwa kuibuka katika mjadala wa makadirio ya wizara hizo ni changamoto ya kuvunjika kwa ndoa, suala la uraia pacha na migogoro ya ardhi.
UVCCM yahamasishana kujiandikisha kupiga kura Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), umewataka wapiga kura wapya kuwahamasisha vijana wengine kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ili kushiriki ipasavyo kwenye uchaguzi mkuu...
Kishindo mkutano mkuu maalumu wa CCM Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalumu wa Taifa kuanzia Mei 29 hadi Mei 30, 2025, jijini Dodoma, ambao pamoja na mambo mengine, utahusisha uzinduzi wa Ilani mpya ya...
Maeneo 14 kuleta mapinduzi Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2025/26, yenye jumla ya Sh476.65, bilioni imepangwa kutekelezwa katika maeneo makuu 14, yakiwemo kukamilisha ujenzi wa Bandari ya Uvuvi...
Dk Kijaji ataja maeneo ya kuchochea mageuzi mifugo na uvuvi 2025/2026 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bajeti hiyo ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 huku akieleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Serikali...
Bashe awaka wanasiasa wanaohujumu zao la pamba Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewakosoa baadhi ya wanasiasa na viongozi ambao kwa maelezo yake, wamegeuza kilimo cha pamba kuwa nyenzo ya kisiasa badala ya kusaidia kukiinua kwa maslahi ya...
PDPC kuendesha mafunzo maalumu kukabili udukuzi mitandaoni Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetangaza mpango maalum wa mafunzo kwa maofisa wa ulinzi wa taarifa binafsi kutoka taasisi za umma na binafsi nchini, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na...
Wabunge wacharuka fedha kilimo kutopelekwa kwa wakati Mjadala wa bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2025/26, umejikita katika mambo mbalimbali ikiwemo suala la fedha za wizara hiyo kutopelekwa kwa wakati.
Mbunge akerwa wanafunzi kusimama katika mabasi Mbunge wa Viti Maalumu, Latifa Juakali amesema kumekuwa na changamoto kwa wanafunzi wa shule za msingi ambao wanapanda kwenye mabasi ya shule ambao kwa mwaka mzima hawajawahi kuketi katika basi.
Mbunge adai kufanyiwa figisu asirudi bungeni “Ninapowaambia siku ya leo hawa waliokuwa wanawapangia bei wakulima wamezunguka katika kata zote wanakutana na mabalozi na wajumbe wao kuhakikisha kuwa wanawahonga fedha ili mimi ninayepambania...