Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1437 results for Janeth Joseph :

  1. PRIME Dosari za kisheria zilivyomuachia huru aliyehukumiwa miaka 20 kwa kudakwa na mirungi

    Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Manyara, imemuachia huru Shabani Halili, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi kilo...

  2. VIDEO: Mke wa mzee wa usharika asimulia alivyoagana na mumewe kabla ajali kutokea

    Mke mzee wa usharika amesema Jumapili kabla ya ajali mumewe aliwaandalia familia nzima nguo za kuvaa kanisani

  3. Mume asimulia jinsi Mchungaji Kantate alivyomuaga

    Mungu ameficha siri kubwa katika kifo. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kimashuku, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Wilaya ya Hai, mkoani...

  4. Mchungaji, mzee wa kanisa wafa ajalini Kilimanjaro

    Mchungaji Munis, ambaye alikuwa akirudi kutoka kwenye uimbaji wa kikanda, alifariki pamoja na mzee Kweka, huku majeruhi watano wakipata matibabu katika hospitali mbalimbali.

  5. Serikali yajitosa kukabili changamoto ya wataalamu wa nishati jadidifu

    Katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa wataalamu wa nishati jadidifu Tanzania, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kupitia mradi wa kujenga ujuzi na kuimarisha ushirikiano wa Afrika...

  6. Utafiti kubaini viashiria saratani ya matiti kwa wanaume waanza

    Kituo cha Utafiti wa Magonjwa Yasiyoambukiza (KCRI) cha Hospitali ya KCMC, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kimeanza kufanya utafiti wa kisayansi wa kubaini viashiria vya saratani ya matiti...

  7. Ashindwa kuthibitisha mahakamani ukichaa wake, akwama

    Katika rufaa hiyo, Ombeni alikuwa akipinga hukumu ya Mahakama Kuu katika kesi ya ardhi iliyofunguliwa dhidi yake na  Joseph Mishili kwa ajili ya huduma ya Catholic Charismatic Renewal.

  8. Sh1.5 bilioni kujenga soko la ndizi Rombo

    Soko hilo litakuwa na uwezo wa kukusanya tani 119,625 za ndizi kwa kila gulio, ambapo kwa wiki hufanyika mara mbili.

  9. Familia ya muuguzi aliyetoweka KCMC sasa kutumia taratibu za kimila kumsaka

    Wakati Jeshi la Polisi likisema linafuatilia mawasiliano ya mwisho na watu aliokuwa akiwasiliana nao Muuguzi wa KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha hivi karibuni,...

  10. Upelelezi kesi anayedaiwa kumuua mumewe bado

    Msele aliuawa Mei 25, 2024. Mshtakiwa alifikishwa mahakamani Juni 10, 2024. Kesi imeahirishwa hadi Agosti 6, 2024.

Previous

Page 56 of 144

Next