NMB yawashika mkono waathirika wa mafuriko Kilwa Kilwa. Mvua iliyonyesha Mei 4, 2024, imesababisha kaya 920 zinazokaliwa na watu zaidi ya 4,000 wilayani Kilwa mkoani Lindi kukosa mahali pa kuishi. Watu hao pia hawana uhakika wa chakula baada...
Bashungwa aapa kutoondoka Lindi, kisa barabara Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hatoondoka mkoani Lindi, hadi pale agizo lake la kujengwa kwa barabara iliyokatika kujengwa ndani ya saa 72 litakapokamilika.
Ujenzi wa barabara Somanga waanza, mawe yamwagwa Kufuatia agizo la Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa la kutaka barabara ya Dar es Salaam – Mtwara kuanza kujengwa maramoja katika eneo la Somanga, Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa...
80 waokolewa, wawili wafariki kwa mafuriko yaliyoambatana na kimbunga Hidaya Amefafanua kuwa watu wawili walifariki dunia huku mmoja kati yao alikutwa na mauti baada ya kuzidiwa na maji alipokuwa akiokoa pikipiki yake isisombwe.
Wafanyabiashara waliokwama Somanga wasimulia adha kukatika kwa barabara Maoni ya wafanyabiashara hao yanafuata baada ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Taifa, Hamis Livembe kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara kutokana na miundombinu ya barabara kusombwa na maji, baadhi...
Kimbunga Hidaya chakata mawasiliano mikoa ya Kusini- Dar “Uharibu ni mkubwa hatuwezi kurekebisha kwa kipindi kifupi. Tumeshauri watu wasitishe safari au wazunguke Songea (mkoani Ruvuma) kama ni dharura ili wasije kuathirika. Ni vema watu wa Lindi...
PRIME Kishindo cha Kimbunga Hidaya Upepo mkali ulivuma usiku kucha wa jana na leo asubuhi maeneo ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani hususan Kisiwa cha Mafia na inadaiwa nyumba 30 hadi 50 zimeathiriwa
Mvua yatikisa Kilwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamedi Nyundo amesema tangu asubuhi leo mvua ilianza kunyesha ikiambatana na upepo mkali uliokuwa unavuma
Wakazi, wanafunzi wakwama kivuko kikisimama kufanya kazi Lindi Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Lindi, Mrakibu Msaidizi Joseph Mwasabeja amesema wamesimamisha safari zote za majini hadi hali itakapokuwa sawa
Wavuvi waendelea na kazi licha ya tishio la Kimbunga Hidaya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa Kimbunga Hidaya kikiwa na upepo mkali na kuwatahadharisha watumiaji wa bahari kuwa makini ili kuepuka madhara