Kimbunga Hidaya chapandisha bei ya samaki Mtwara, Lindi Athari za Kimbunga Hidaya zimeanza kuonekana katika mikoa ya Mtwara na Lindi baada ya wavuvi wengi kushindwa kufanya kazi na kusababisha bei ya samaki kupanda.
Wazee Lindi wachoka kukaa nyumba isiyo na umeme Wazee wanaolelewa kwenye Kambi ya Rasbula Manispaa ya Lindi mkoani hapa, wameiomba Serikali ikarabati nyumba wanayoishi na iwekewe umeme wakidai wamechoka kuishi kwenye nyumba chakavu isiyo na...
Majeruhi wawili ajali ya Somanga wahamishiwa Muhimbili kwa matibabu Ajali hiyo iliyoua watu 13, ilihusisha gari dogo la abiria aina ya Mazda na lori la mafuta ambayo yaligongana uso kwa uso.
Ajali yaua 13 Kilwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori, amesema ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi
DC Lindi aitaka Bodi ya Korosho kusimamia usambazaji wa pembejeo Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga ameitaka Bodi ya Korosho nchini kufanyia kazi changamoto zilizopo ili kuhakikisha usambazaji wa pembejeo za kilimo cha korosho zinatekelezwa kwa wakati.
Wakulima wa mwani Lindi, Mtwara wanolewa Kutokana na kukosekana kwa soko la mwani ghafi katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa mafunzo kwa washiriki 120 kuhusu namna kuongeza thamani ya zao hilo.
Polisi Nachingwea yajipanga kukabiliana na uhalifu, ukatili wa kijinsia Jeshi la Polisi wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi limeandaa mpango maalumu wa kupambana na vitendo vya uhalifu na ukatili wa kijinsia vilivyokithiri kwenye baadhi ya vijiji wilayani humo.
Sh900 milioni zaboresha Hospitali ya Wilaya Nachingwea Ni jambo kubwa kuwahi kutokea, hasa katika ukanda wa kusini, kwa hospitali ya halmashauri kupata hadhi ya nyota tatu, asema mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Lindi, Andrew Chikongwe
Maji ya mvua yazidi kuzingira nyumba Lindi Serikali imewapatia chakula kama unga maharage pamoja na magodoro 20 yaliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
Mvua zaharibu miundombinu Lindi, Serikali yatoa Sh5 bilioni za ukarabati Lindi. Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi zimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, hasa barabara na madaraja, hivyo kusababisha kero kwa wananchi kutokana na kukatika kwa...