Waziri wa Elimu azungumzia mwanafunzi aliyedai nafasi yake imeuzwa
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema ameona taarifa inayosamba mtandaoni ikieleza mwanafunzi aliyemaliza Shule ya Sekondari Mkombozi iliyopo Wilaya ya Same, Safael...