Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Madai mjamzito kupoteza uhai akijifungua, Serikali kuchunguza

    Serikali imeunda timu ya wataalamu kuchunguza tukio la mama mjamzito anayedaiwa kufariki wakati akijifungua katika Kituo cha Afya cha Ngarenairobi wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro, tukio...

  2. Aliyechomwa moto na mamaye ashindwa kufanya mitihani la saba

    Serikali imelaani tukio la Ikiwa mtoto wa miaka 13, mwanafunzi wa kumwagiwa mafuta ya taa na kisha kuchomwa moto na mama yake mzazi kwa madai ya kupika chips na kula wakati aliposikia njaa.

  3. PRIME Ulemavu wa ajabu unaoitesa famili hii

    Si adhabu bali ni majaliwa yake Mola.Ndivyo unavyoweza kusema kwa yaliyomkuta Nighenjijwe Joseph Mgonja (67) mkazi wa kijiji cha Gwang'a, kata ya Chome wilayani Same, baada ya kuzaa...

  4. Wananchi wachanga Sh40 milioni kujenga shule

    Wananchi wa wa vijiji vya Iriama na Mgambo, Kata ya Vuje, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, wamechangishana fedha zaidi ya Sh40 milioni kuanzisha shule yao mpya ya Sekondari kutokana na watoto...

  5. PRIME Chanzo matukio ya ukatili Rombo chagundulika

    Matukio ya ukatili yakiwamo mauaji yamekuwa yakiitesa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, chanzo cha hayo kikitajwa kuwa ulevi na uvutaji bangi.

  6. Mwenyekiti Monduli aamriwa kumlipa fidia Sh250 milioni aliyekuwa RC Morogoro

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imemuamuru Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Isack Joseph, kumlipa fidia ya Sh250 milioni baada ya kukutwa na hatia ya kumkashifu na kumtusi...

  7. DC Same amuonya mwekezaji shamba la mkonge

    Mkuu wa wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amempa onyo mwekezaji wa shamba la mkonge la LM Investiment wilayani humo kwa kuzua uzushi kwamba wananchi wamevamia na kuchoma eneo lake.

  8. Moto uliozuka Hifadhi ya Kinapa waendelea kuthibitiwa

    Moto uliozuka katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa) katika eneo la Indonet-Rongai, wilayani Rombo umeendelea kudhibitiwa ambapo tayari watu 134 kutoka vikosi mbalimbali vya Jeshi vipo...

  9. Kinana awaonya wanaojipitisha kabla ya 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, awaonya wana-CCM wanaosaka nafasi za uongozi kupitia chama hicho, kusubiri mpaka muda wa uchaguzi utakapofika.

  10. Adaiwa kumuua mama yake kwa kumkata shingo

    Tukio la kuuawa kwa mwanamke huyo, Doris Shirima (51) lilitokea Septemba Mosi mwaka huu na kuzua taharuki kubwa kwa wakazi wa Kijiji hicho cha Lessoroma na maeneo ya jirani.

Previous

Page 80 of 144

Next